Video: Rais Magufuli Akutana na Dangote Ikulu, Amhakikishia Mazingira Bora ya Uwekezaji. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Rais Magufuli Akutana na Dangote Ikulu, Amhakikishia Mazingira Bora ya Uwekezaji.

Rais Magufuli amemhakikisha mfanyabiashara wa Nigeria, Aliko Dangote kuwa itamwekea mazingira mazuri ya uwekezaji ili kuhakikisha kiwanda chake cha saruji kinaendelea kufanya kazi kwa ufanisi.

Rais amesema kuna ‘wapiga deal’ walikuwa wameingilia mradi wake huku Dangote akisema mwezi huu analeta malori 600 kwaajili ya shughuli zake na kubebea saruji na kwamba atanunua kila rasilimali kwaajili ya kiwanda hicho hapa hapa Tanzania. Pia amedai kuwa atatengeneza ajira zingine mpya zaidi ya 1,500.

Tazama Video ya Walichokisema Hapa chini:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.