Video: Makomando wa JWTZ Walivyoonyesha Uwezo Wao Mbele ya Rais Magufuli. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Makomando wa JWTZ Walivyoonyesha Uwezo Wao Mbele ya Rais Magufuli.

December 9 2016 zimefanyika sherehe za maadhimisho ya 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam, ambapo Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alikuwa mgeni Rasmi. Mbele ya Rais Magufuli Makomando wa JWTZ walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao ikiwamo pamoja na namna ya kukabiliana na adui. Bonyeza play hapa chini kutazama.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.