Video: Hii Hapa Trailer ya Movie Ya 'Kiumeni', Idris Sultan, Muhogo Mchungu Wamo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Hii Hapa Trailer ya Movie Ya 'Kiumeni', Idris Sultan, Muhogo Mchungu Wamo.

Kiumeni ni filamu ya Kitanzania inayosubiriwa kwa hamu kubwa. Imehusisha mastaa mbalimbali akiwe Ernest Napoleon ambaye ndiye mhusika mkuu. Na sasa trailer yake rasmi imetoka.

Waigizaji wengine walioshiriki ni pamoja na Idris Sultan, Irene Paul, Antu Mendoza, Muhogo Mchungu, Rashid Matumla na wengine.
Filamu itaingia kwenye majumba ya sinema mwakani.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.