Salama Jabir Ala Shavu Tuzo za EATV Awards 2016 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Salama Jabir Ala Shavu Tuzo za EATV Awards 2016

Mtangazaji mahiri wa vipindi vya burudani nchini, Salama Jabir ametangazwa na EATV kuwa host wa tuzo za EATV Award 2016 ambazo zitafanyika Disemba 10 katika ukumbi wa Mlimani City.

Jumla ya tuzo 10 zinatarajiwa kukabidhiwa kwa wasanii wa muziki na filamu siku hiyo.

Kupitia twitter ya EATV, imeandika;

Tunamtambulisha kwako HOST EATV AWARDS 2016, mkali wa hizi kazi.
Salama Jabir.

Moja kati kipengele ambacho kitakuwa na msisimko siku hiyo ni kipengele cha msanii bora wakiume ambacho Alikiba, FA, G-Nako, Shetta na Ben Pol wanapigana vikumbo kuondoka na tuzo hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.