Picha: Ommy Dimpoz Amweka Wazi Mpenzi Wake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Ommy Dimpoz Amweka Wazi Mpenzi Wake.

Baada ya maneno mengi kutoka kwa mashabiki wa upande wa pili kuwa Ommy Dimpoz hapigi mechi na pia hawamjui shemeji.

Ommy dimpoz ameamua kuweka picha ya shem wetu wakiwa pamoja, hata hivyo picha hiyo ilikuwa na emoji zenye ishara ya malovee lakini kitu kilichoshangaza wengi ni Ommy kublock comment katika picha hiyo, yani picha hiyo huwezi ku comment.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.