Picha: Hatimaye Rolls Royce La Diamond Platnumz Liko Njiani Kuja Tanzania. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Hatimaye Rolls Royce La Diamond Platnumz Liko Njiani Kuja Tanzania.

The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi mwake punde...Gari hilo aina ya rolls royce Drop Head coupe 6.7 litre V-12 ambalo limeagizwa kupitia kampuni ya Newline Luxury Motors ambalo order yake ina waiting time ya six months kuanzia unapolipia hadi litengenezwe hadi likufikie mteja.
Tiffah wa Diamond Akiwa na Gari Yake Aina Ya Bentley. Tazama Hapa Chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.