Ommy Dimpoz na Mpenzi Wake Ndani ya Mahaba. (Video) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ommy Dimpoz na Mpenzi Wake Ndani ya Mahaba. (Video)

Baada ya kuandamwa sana ana matatizo ndio maana hajawahi kuonekana na mwanamke na hana hata mtoto wa kusingiziwa na Nay wa Mitego, 
Kisha Diamond kuandika kuwa aligoma kumpumulia ndio maana ana visasi naye, Ommy katupia picha akiwa na mpenzi wake huko Instagram.

Unaweza kujionea mwenyewe video hapa chini:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.