Nuh Mziwanda Atarajia mtoto Kwa Mkewe Nawal. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nuh Mziwanda Atarajia mtoto Kwa Mkewe Nawal.

'Hayawi hayawi sasa yamekuwa' tunaweza kuutumia vyema msemo huo wa wahenga wenye dhamira ya jambo lisilo tarajiwa limetokea. tayari yamekatika majuma matatu tangu msanii Nuh Mziwanda kufunga ndoa na mwanamke ajulikanaye kama Nawal.
Wiki hii Nuh mziwanda ama make-headline kwa kuamua kuonyesha urijali wake na heshima ya kwanza unayotakiwa kuonyesha baada ya kuoa.

Mziwanda anatumia ukurasa wake vyema na kuusanukia sababu za yeye kuonyesha matunda baada ya 21 tangu harusi yake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.