NivaSuperMario Ajigamba Kuwa na Mke Mzuri Kuliko Wasanii Wote Bongo Movie Nzima. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

NivaSuperMario Ajigamba Kuwa na Mke Mzuri Kuliko Wasanii Wote Bongo Movie Nzima.

Tayari yameshakatika majuma kadhaa tangu msanii wa Bongo movie Niver Super Mario, alipotimiza moja ya wajibu wake kama mtoto wa kiume kwa kuamua kufunga ndoa.


Kupitia kipindi cha Enews cha Clouds Tv msanii huyo amejigamba ipasavyo, na kuwataja baadhi ya wasanii waliomchunia baada ya yeye kuachana na ukapela.


Wema Sepetu,Wolper ni miongoni mwa wasanii waliotajwa kumuwekea kinyongo msanii huyo anaefanya vizuri kwenye tasnia ya Bongo movie.
Bongoswaggz inakukaribisha kumtazama Niva alipokuwa akijinadi alipokutana na kitonge cha E News. 

https://www.instagram.com/p/BNciCw0jqdT/?taken-by=bongoswaggz


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.