Nay wa Mitego Amshusha Pressure Mpenzi Wake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nay wa Mitego Amshusha Pressure Mpenzi Wake.

Msanii wa muziki wa hip hop Nay wa Mitego ameamua kuweka mambo sawa kwa mpenzi wake baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zinazomuonyesha rapper huyo kama amefunga ndoa.

Nay akiwa mwanamke aliyedai kuwa ni shemeji yake.

Rapper huyo amedai alikuwa hana maelewano na mpenzi wake kutokana na picha hizo.

Kupitia Instagram, Nay wa Mitego ameandika:

Na Shemeji yangu Mrs Allen Peter Kasiga. Yangu inakuja soon hizi Picha zimefanya Mke wangu mtarajiwa Aone Kama nimeoa Mwanamke mwingine kimya kimya, maelewano hamna tenaaaa. Imenibidi tu ni Post kurudisha Amani ya Mahusiano yangu.! Wanao Post cjui nimeoa.. Tafadharini cjaoa bado Mtakuja kufanya watu wakafa bureee kwa Pressure…!!
#sijiwezi LINK ON MY BIO


Nay kwa sasa anafanya vizuri na wimbo ‘Sijiwezi’.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.