Mama Mzazi wa Mr. Nice Afunguka Baada ya Habari Kusambaa Kuwa Mr. Nice Amefariki. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mama Mzazi wa Mr. Nice Afunguka Baada ya Habari Kusambaa Kuwa Mr. Nice Amefariki.

Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba msanii wa siku nyingi wa bongofleva Mr. Nice amefariki na mwili wake upo Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mama Mzazi wa Mr. Amesema Haya:

“Kusema ukweli hayo mambo yalisemwa lakini mimi nilizungumza na mwanangu live akasema yeye ni mzima wa afya mimi sikusikia kwenye vyombo vya habari nilisikia watu wakisema ndio nikataka anipigie simu ili niweze kujua hali yake ikoje. Alinipigia tukazungumza” – Mama Mr. Nice

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.