Lady Jay Dee Atumia EATV Awards Kumtambulisha Rasmi Mume Wake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lady Jay Dee Atumia EATV Awards Kumtambulisha Rasmi Mume Wake.

Muimbaji huyo ambaye usiku juzi aliambatana na mwanaume huyo kupokea tuzo ya Mwanamuziki bora wa kike, alilitumia jukwaa hilo kuwashukuru mashabiki wa muziki wake pamoja na kumtambulisha mwanaume huyo ambaye ni mgeni machoni pa wengi.

Baada ya shukrani kwa mashabiki na kutaka kuondaka alirudi jukwaani nakusema, “Nilitaka kusahau huyu ni baby wangu” kauli ambayo iliibua shangwe kubwa kwa mashabiki.

Wiki chache zilizopita, muimbaji huyo kupitia Instagram alipost picha ya mwanaume huyo na kuandika:

“Big shout out kwa Coastal air Kwa kufanikisha safari yangu kwenda honeymoon #ZanzibarIsland,”

kauli ambayo ilitafsiriwa huwenda wawili hao wamefunga ndoa.

Jay Dee hakuwahi kuweka wazi mahusiano yake tangu aachane na aliyekuwa mue wake, Gardiner G Habash.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.