Kajala Masanja,Siwezi kumsahau Jb kwenye maisha yangu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kajala Masanja,Siwezi kumsahau Jb kwenye maisha yangu.

Kuutambua uwezo wa mtu na kuuthamini ipasavyo kwa kukiri yale aliyoyatenda kwako ni jambo lililowashinda watu wengi hasa katika tasnia ya sanaa.
Msanii anaefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu nchini Kajala Masanja,ameweka bayana jinsi msimamizi wa kampuni ya Jerusalem film production,Jacob steven a.k.a Jb alivyomsaidia kwenye maisha yake ya uigizaji.

Bongoswaggz inakusogezea nukuu ya kajala akiweka ya moyoni kwa kumsifia jb.

"Mimi namshukuru JB, ndiye aliyenisaidia mpaka nikafika hapa,” alisema Kajala. “Lakini moja kati ya changamoto ambazo nilizipata wakati naanza nilikuwa nataka kufanya filamu na watu wakubwa kitu ambacho kilikuwa hakiwezekani kwa wakati ule, lakini mwisho wa siku nilivumilia mpaka nikapata nafasi,”

Kajala ni miongoni mwa wasanii waliopiti misukosuko mingi katika maisha kama jela,skendo chafu.n.k

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.