Hatimaye Picha ya Chuchu Hans Akiwa Mjamzito Yanaswa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatimaye Picha ya Chuchu Hans Akiwa Mjamzito Yanaswa.


Baada ya Kusemekana kuwa Mwigizaji Chuchu Hans ni Mjamzito na kuwa anaficha watu wasijue Wambea wa mjini tayari wamefuma picha yake akiwa ni Mama Kijacho...

Chuchu Hans Alikaririwa Akisema Haya:

“Unajua vitu kama hivyo ni too personal na nisingependa kuviongelea especially kwenye media. Lakini muda muafaka ukifika kila mmoja atajua nini ni nini, ila kwa sasa acha ikae hivyo watu waendelee kuhisi,” amesema muigizaji huyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.