Hatimaye Jokate Mwegelo Athibitisha Kuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Alikiba. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatimaye Jokate Mwegelo Athibitisha Kuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Alikiba.

Modo, Muigizaji na Mwanamuziki Jokate Mwegelo ameudhihirishia Umma Penzi lake na Star wa Bongo Flava Ali Kiba.

Mpaka jana mchana Mashabiki walikuwa wakisubiria nini ambacho Mrembo huyo ataandika juu ya siku ya kuzaliwa ya Laazizi wake Ali Kiba.

Jokate ametumia lugha ya Kifaransa kuandika hisia zake kwa Kiba, huku akionesha ni jinsi gani ‘amezama’ kwenye Huba na hit maker huyo wa Aje.
“Baby happy birthday I love you so much,it is paining,I hope that the French has sang you prepare for that, but I want nothing,but the best for you from the bottom of my heart the rest I leave to God for what happens to know that Jojo doesn’t disturb and that am happy to have you as my friend,rest blessed” ameandika.

Tiffah wa Diamond Akiwa na Gari Yake Aina Ya Bentley. Tazama Video Hapa Chini:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.