Harmonize Anunua Kiwanja, Ajipanga Kushusha Ghorofa Hili Hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Harmonize Anunua Kiwanja, Ajipanga Kushusha Ghorofa Hili Hapa.

Mwanamuziki Harmonize aliyoko chini ya lebo ya Muziki ya WCB Ameweka picha katika mtandao wake wa Instagram akionyesha kiwanja alichonunua na ramani ya mjengo wa Gorofa anaopanga kuujenga hivi karibuni....
Pichani akiwa na mama yake na madalali wa kiwanja hicho..

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.