Fellain Ainyima Manchestar United Point Tatu Muhimu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Fellain Ainyima Manchestar United Point Tatu Muhimu.

Manchester Unied itakuwa na majonnzi mazito baada ya kuzikosa point tatu amabzo zingewafanya wafikie poin 23 na badala yake wamejikuta wanagawana poin na Evarton.
Manchestar United walionyesha kuwa kabili vyema na mpaka dakika ya 89 manchester ilikuwa inaongoza na kufanyika mabadiliko na kuingia mchezaji aliewahi kuichezea timu hiyo. Marouane Fellain, 

Fellain hana kiwango kizuri kwa sasa na licha ya kutokea benchi hakuonyesha uhai wowote na kuizawadi Everton goli la penalt baada ya kumkwapua mshambuliaji wa Evatorn na kugawa zawadi ya goli la penati liliowekwa kimiani na Baines.

Bongoswaggz inakusogezea picha za mechi ya Manchestar Unired vs Everton.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.