Drake na Jennifer Lopez 'JLo' Sasa Kwenye Mahaba Ya Nguvu. (Picha) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Drake na Jennifer Lopez 'JLo' Sasa Kwenye Mahaba Ya Nguvu. (Picha)

Mapenzi ya JLo na Drake yameshaanza kunoga sasa.

Baada ya kusikia tetesi kibao kila kona kuhusu JLo na Drake, naweza nikasema kwamba tetesi hizo zinaanza kupelekwa kwenye ukweli baada ya wawili hao kutokeleza kwenye picha moja ya kimahaba flani hivi inayomwonyesha JLo amesinzia mikononi mwa Drake.

Kupitia kurasa zao za Instagram wameposti picha wakiwa pamoja kwenye pozi la Mahaba niue zote zikiwa hazina caption.

A photo posted by champagnepapi (@champagnepapi) on

A photo posted by Jennifer Lopez (@jlo) on

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.