Diamond Platnumz Ampongeza Nahreel Kwa Mambo Haya. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz Ampongeza Nahreel Kwa Mambo Haya.

Diamond Platnumz ampongeza mtayarishaji na muimbaji wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel.

Hitmaker huyo wa Salome ameonyeshwa kufurahishwa na Nahreel kwa kukitambulisha kipaji cha rapper wa kike kutoka lebo ya The Industry, Rosa Ree.

Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika:

A big birthday wishes to the Most talented Bway @nahreel … Unapambana sana Mwanangu, Mungu aendelee kukufungulia wewe pamoja na team yako nzima ya the Industry… But all n all Shukran kwa kututambulisha kwa huyu dada…. one of My Favorite Female Rapper and Song at the moment! #OneTime @rosa_ree
Lebo ya The Industry inawasimamia wasanii wawili akiwemo Rosa Ree na Wildad.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.