Diamond Platnumz Ajivunia Hili Kwenye Maisha yake ya Muziki - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz Ajivunia Hili Kwenye Maisha yake ya Muziki

Msimamizi mkuu wa Lebo ya WCB Wasafi na aliyesaini mkataba na Universal Music Group ya nchini marekani Diamond Platnumz licha ya kuwa katika sakata zito na msanii mwenzio Ommy Dimpoz.
Diamond Platnumz anatuchana kitu anachojivunia katika maisha yake hasa katika mziki wake wa hapa bongo na mafanikio pia.
BongoSwaggz inakusogezea maneno ya Diamond kwa anachojivunia tangu aingie kwenye muziki wa bongo.

"kitu ambacho namshukuru Mungu ni muziki wetu unatamba sana hapa bongo na Afrika nzima tofauti na miaka ya nyuma. mimi mwanzo niliangaika sana ili tu kupata nafasi ya kuwania tuzo za nje tofauti na wasanii kama Harmonize na Raymond kuwa na miezi kadhaa na kushindanishwa kwenye tuzo kadhaa. hiyo ni ishara ya pekee kuona jinsi gani muziki wetu umekuwa mkubwa hasa Afrika, hicho ndo kitu pekee ninachojivunia katika katika maisha yangu"

Tiffah wa Diamond Akiwa na Gari Yake Aina Ya Bentley. Tazama Video Hapa Chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.