Chuchu Hans Adaiwa Kuficha Mimba ya Ray Kigosi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Chuchu Hans Adaiwa Kuficha Mimba ya Ray Kigosi.

Chuchu Hans Ajibu kuhusu tetesi za kuwa ni mjamzito na anaficha watu wasijue.

Amesema Hivi:

“Unajua vitu kama hivyo ni too personal na nisingependa kuviongelea especially kwenye media. Lakini muda muafaka ukifika kila mmoja atajua nini ni nini, ila kwa sasa acha ikae hivyo watu waendelee kuhisi,” amesema muigizaji huyo.

Chuchu alifanikiwa kushinda tuzo ya muigizaji bora wa kike kwenye tuzo za Eatv Awards 2016 zilizotolewa Jumamosi iliyopita.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.