Christian Bella Sipendi Kufanya Kolabo na Wasanii - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Christian Bella Sipendi Kufanya Kolabo na Wasanii

King Of the Melods unaweza mwita hivyo Msanii kutoka Congo aliamua kuwa raia ya Tanzania na kuamisha maisha yake nchini. Christian Bella ni miongoni mwa wasanii wanaojua kuzikonga mioyo za mashabiki ipasavyo na kulitumia jukaa vyema.
Msanii huyo ambae alifungua studio yake ya muziki aliyoipachika jina la Kingdom Music anatusanukia sababu zinazomfanya asipende kufanya kolabo mara kwa mara.

Bongoswaggz inakupa wasaa wa kujua kinachomfanya msanii huyo kizichukia kolabo.

"Mimi napenda sana kuwa tofauti kwenye muziki wangu na napenda muda wote niwe niwakushangaza mashabiki zangu ,lakini kuimba mara kwa mara leo huku kwensho kule kunawafanya mashabiki zangu kunizowea haraka.mimi binafsi kila ninapoimba lazima niimbe kama bella ili kumlinda Christian bella" alisema hivyo mzee huyo wa nishike.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.