Breaking News: Rapper Darassa Apata Ajali Mbaya ya Gari ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Breaking News: Rapper Darassa Apata Ajali Mbaya ya Gari !

Zimetufikia taarifa ambazo sio nzuri kwa wapenzi wote wa muziki nchini Tanzania kumuhusu hitmaker wa ngoma ya Muziki Darassa CMG.

Rapper huyo amepata ajali ya gari muda mchache uliopita akitokea Kahama kuelekea Geita kwenye show akiwa kwenye gari aina ya Harrier.Gari alilokuwemo Darassa baada ya ajaliMuonekano wa nyuma ya gari
Unachotakiwa kukifahamu ni kwamba rapper huyo hajapata majeraha makubwa kutokana na ajali hiyo (Hajaumia). taarifa zaidi tutaendelea kukupasha baada ya kuzungumza na Darassa.

Tazama video hii hapa chini kuona jinsi ilivyokuwa baada ya ajali hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.