AY Amtambulisha Mpenzi Wake Kwa Mara ya Kwanza (Picha) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

AY Amtambulisha Mpenzi Wake Kwa Mara ya Kwanza (Picha)

Kwa mara ya kwanza, Jumanne hii, Ambwene Yessayah aka AY amemtambulisha girlfriend wake ambaye ajabu amekuwa naye tangia mwaka 2008.

Akipost picha ya mrembo huyo kumpongeza katika siku yake ya kuzaliwa, AY ameandika kwenye Instagram: Happy Birthday my wife to be..I LOVE YOU SO MUCH na unajua ♥️♥️♥️♥️♥️♥️ #MySade #KibokoYangu.

Kwenye picha nyingine akiwa naye, AY ameandika: 2008-2016
A trip down memory lane.. #MaliYaZee ♥️♥️♥️♥️ #ZeeMapenziniLeo##.”

Jina la girlfriend wake ni Remy na anaishi nchini Rwanda. Mfahamu zaidi Remy kwa picha zake hizo chini:
Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.