Alikiba na Mdogo Wake Zari 'Zuleha' Wazua Utata Mtandaoni, Jionee Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba na Mdogo Wake Zari 'Zuleha' Wazua Utata Mtandaoni, Jionee Hapa

Mdogo wake Zari The Bosslady, Zuleha amezua kasheshe mtandaoni baada ya kupost picha akiwa na Alikiba. Wawili hao walikutana jijini Kampala, ambako Alikiba alienda kwaajili ya kutumbuiza kwenye tamasha la Blankets and Wines.

Zuleha ambaye ni tumbo moja na Zari, alipost picha hiyo akiwa na Alikiba Instagram, na kuandika: With the one and only @officialalikiba, c u at blankets and wines.”

Hiyo imekuwa picha yake maarufu zaidi katika zote alizowahi kupost huku ikivutia malumbano makali kati ya mashabiki wa Diamond na Alikiba.

Dada yake, Zari aliyebaki kucheka tu kwa comments hizo, alichangia kwa kuandika: Just passing by to read the comments, yall neighbors are something else.”

Hizi ni baadhi ya comments:

ozubery: Tunaomba naww mzalie mtt @officialalikiba kwanza anajua kuimba kuliko shemeji yako ndomo poa pili anahela kuliko baba tiffa nakuakikishia atakujengea mjengo hukoooo alikomjengea mwanae @kiba_junior rondon halafu na wewe utakua star kawa dadayako sijui mama yako @zulehah @zulehah @zulehah tunaomba uwe shemeji yetu

jacksonhatibu: Haaaaa @zarithebosslady @zulehah this is not tiny League ….daahh …don’t get offended bcoz of this massive attack from Tzpeeps …..Another day b4 you Post them you shd prepare yoself psychologically…. It’s ol abt Love

junosesque: Don’t see any bid deal with selfies. If she requested and @officialalikiba accepted what’s wrong with that? He is a celebrity and he can not put off his fans when they request for one. For me no big deal!

amisha32: You betray diamond they will never forgive you don’t you ever step in madale house u betrayer why you take pic with kiba his our enemy.. Wcb will not forgive you zuleha @zulehah

hellen_spr: When I read all this comments… I can’t help but wonder how some Tanzanians are mannerless. Don’t they teach you manners in school or home? You just gossip.. Insult people. Yaani two adults cannot take a photo without all this bashing and criticism. You don’t even love your own @diamondplatnumz who is making Tanzania known all over the world. His love life his choice. There are people who value others. In Kenya we do not insult celebrities ovyo ovyo. Shame on some of you.

vincycai6145: Kiba better watch himself them bitches are known gold diggers just like zari. So one sister already baited diamomd, so kiba better watch his back. Or he would be paying that child support. And she would be popping them babies like they candy. Lmfaoooo @angelalola3204

rashdar: Well done @zulehah nashauri ukienda kwenye blancets&wines piga nae nyingine ukiamka tuma tena.music una Siri yake ukiwa mzuri utauimba tu hata ukiwa chooni hamna sehemu ya burudani wanapiga nyimbo za kiba au chibu peke yake only instagram ndo watu tunalazimisha kupenda kazi za mtu mmoja tu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.