Alikiba Atoa Somo Kwa Wasanii Wakongwe Kwenye Muziki - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba Atoa Somo Kwa Wasanii Wakongwe Kwenye Muziki

Alikiba ni miongoni mwa wasanii waliopiga mtonyo mrefu zaidi mwaka huu kwenye baadhi ya nyimbo alizoachia mwaka huu na kukwarua tuzo kadhaa.

Miongoni mwa wasanii wakongwe hapa bongo Alikiba ni miongoni mwao pia.Alikiba ni msanii anaemiliki lebo ya Kings music na anawasimamia wasaii kadhaa akiwepo Abbiskilz

Bongoswaggz inakusogezea Somo la alikiba kwa sawanii wenye muda mrefu kwenye game.

"kuna wasanii wako wengi na hata wale wa zamani lakini kwakuwa mimi ni miongoni mwao na wako kwenye game mi nadhani wanapata hizo nafasi wasizichezee kabisa na baadae watumie uwezo wao vizuri ili kurudi vyema kwenye game kama jinsi ambavyo mimi nimefanya."

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.