Alichosema Nay wa Mitego Baada ya Nisha Ku 'Feki' Ujauzito. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alichosema Nay wa Mitego Baada ya Nisha Ku 'Feki' Ujauzito.

Baadaa ya staa wa bongo movie Salma Jabu maarufu Nisha kukaa na Ayo TV katika exclusive interview na kuelezea ukweli kuwa hana mimba bali alidai alikuwa anafikisha sehemu ya ujumbe katika filamu yake ijayo.

Leo December 22 2016 Soudy Brown amezungumza na Nisha akimuomba awaombe msamaha kutokana na kusingizia msanii wa bongo fleva kumpa ujauzito lakini yeye akasema hakumtaja mtu.

Aidha Soudy Brown amezungumza na Nay wa Mitego ambaye Soudy Brown aliwahi kusema ndiye mhusika wa ujauzito wa Nisha…..

‘nimemsamehe sinaga tatizo kabisa na mtoto wa kike, alifanya hivyo labda kuna kitu chake alitaka kitimie, unajua upande wa movie biashara imekufa kabisa ili aendelee kusikika lazima atengeneze kiki, nadhani hiki siyo kitu kigeni tutasikia mengi’

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.