Wema Sepetu Amnyooshea Mikono Ommy Dimpoz Kwenye Majibu Yake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema Sepetu Amnyooshea Mikono Ommy Dimpoz Kwenye Majibu Yake.


Kama ni mpenzi na mfuatiliaji basi hakika unajua kinachoendelea kati ya Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz, baada ya kutemeana mbovu kwenye interview zao wanazofanyiwa.
Hakuna mtu anaependa kuwa daraja la mafaniko kwa mwenzake na hapo ndipo uhasama na wivu wa kimaendeleo unapoibuka na kuibua mengi zaidi kama ilivyo kwa Diamond na Ommy .
Kupitia mtandao wa Instagram mwanadada  Wema Sepetu, anaetajwa kuwa chanjo kimojawapo cha wawili hao kutengana anaonyesha msimamo wake juu ya hilo
"Busara, Upole, Hekma... Thats wat u r made of... Im very very Proud and Impressed kwakweli... Mnyonge mnyongeni haki yaki mpeni... Sasa sio mje muanze kusema sijui napick sides... Nooooo...!!! Sina side maana na mimi pia ni outsider tu... But kwa leo nimependa ulichofanya Ommy.... Forever Bae... ??Sometimes being the bigger person doesnt hurt... @ommydimpoz"aliandika Wema Sepetu

Bongoswaggz itakusogezea kila kinachoendela kutokea na majibizano ya pande hizo na mahabari mengi zaidi.
Download application ya Bongoswaggz kwenye Playstore ili uwe wa kwanza kupata habari katika simu yako enjoy na bongoswaggz.comDownload App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.