Video: Shilole Ajibadili Jina na Kujiita 'Shishitrump' - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Shilole Ajibadili Jina na Kujiita 'Shishitrump'

Wakati dunia ikiwa na sintofahamu kufuatia uteuzi wa raisi mpya wa marekani Donald Trump. Leo kupitia mtandao wa Instagram mwanadada Shilole atangaza jina lake jipya kwa mashabiki zake.

Bado asilimia kubwa ya mashabiki wa Shilole wanahisi Shishi kwa sasa atakuwa na stress baada ya kudumu na Nuh Mziwanda kwa muda mrefu na walipoachana hata miezi mitano bado haijaisha Nuh Mziwanda amevuta jiko.

Msikilize hapa shilole alivyo jipachika jina la rasi mpya wa marekani na kujiita ''Shishitrump''

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.