Video: Ommy Dimpoz ft Alikiba – Kajiandae - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Ommy Dimpoz ft Alikiba – Kajiandae

Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kajiandae’ akiwa ameshirikiana na Alikiba. Video ya wimbo huo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika tamasha la Fiesta lililofanyika Jumamosi hii. Video imeandaliwa na director Justin Campos wa Afrika Kusini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.