Video: Grace Matata ft Emmagripa - Utanifaa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Grace Matata ft Emmagripa - Utanifaa

Grace Matata ni miongoni mwa-wanawake wanaoufikisha vyema muziki wa injili katika jamaii kwa rika zote, Grace anatambulisha nyimbo yake mpya iliyoambatana na video aliyomshitikisha Emmagripa.
Bongoswaggz inakusogezea kichupa kipya cha mwanadada huyo kinachoitwa 'Utanifaa' enjoy nayo hapa chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.