Video: Diamond Platnumz Anakuletea Marashi Yake Yaitwayo 'Chibu Perfume' Yapo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Diamond Platnumz Anakuletea Marashi Yake Yaitwayo 'Chibu Perfume' Yapo Hapa

Mkali wa wimbo Salome, Diamond Platnumz ameonyesha sample yake ya kwanza ya bidhaa yake mpya ya perfume ‘ChibuPerfume’ inayotarajiwa kuingia sokoni siku za usoni.
Muimbaji huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa tayari kwa ajili ya ujio wa bidhaa hiyo ambayo itapatikana katika maduka mbalimbali ya vipodozi nchini.

Kupitia facebook, Diamond ameandika:

About to make another History @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve soon will be in your favorite store!
Video ikionyesha marashi hayo ipo hapa chini. 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.