Uefa: Real Madrid Yabanwa Kwenye Mechi Ya Ugenini - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Uefa: Real Madrid Yabanwa Kwenye Mechi Ya Ugenini

Wachezaji wa Madrid wakishangilia goli la Bale.

Klabu bingwa barani Ulaya imeendelea usiku wa kuamkia leo ikiwa bado katika hatua za makundi.

Mchezo wa kusisimua zaidi ukiwa kati ya Legia Warsaw dhidi ya Real Madrid ambao ulikuwa wa piga nikupige.

Huku ikishuhudiwa Gareth Bale akifunga goli la kusisimua zaidi. Matokeo ya mwisho Legia Warsaw 3-3 Real Madrid.
Mchezo huo ulikuwa bila ya mashabiki wa Legia baada ya kufungiwa na Uefa.

Monaco ikiwa nyumbani imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya CSKA ya Moscow.

Tottenham Hotspur pia ikiwa nyumbani katika dimba la Wembley ilikubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Bayer Leverkusen.
Tottenham walitumia uwanja wa Wembley badala ya White Hart Lane

Leicester City ikiwa ugenini ililazimishwa sare tasa dhidi ya FC Copenhagen.

Matokeo ya michezo mingine

Borussia Dortmund 1-0 Sporting

FC Copenhagen 0-0 Leicester city

FC Porto 1-0 Club Brugge

Juventus 1-1 Lyon1

Sevilla 4-0 Dinamo Zagreb

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.