Theo Walcott Kuikosa Mechi ya Manchester United J/Mosi Hii. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Theo Walcott Kuikosa Mechi ya Manchester United J/Mosi Hii.

Mchezaji wa muda mrefu anaechezea klabu ya Arsenal Walcott, alieianza vyema ligi msimu huu na kufanikiwa kubadili matokea kadhaa kwenye mechi za Arsenal.

kuelekea kuumaliza mwezi huu November 19 Ligi kuu ya EPL inazikutanisha Manchestar United na Arsenal mechi itakayo kuwa na msisimko mkali zaidi.Bongoswaggz inakufikishia taarifa ambayo inawaumiza vichwa uongozi na mashabiki wa Arsenal kufuatiwa mchezaji huyo kutokuwepo katika mechi hiyo na mashetani wekundu.
Theo walcott anaweza kukosa mechi dhidi ya mahasimu wao Manchester united, na sababu kubwa ni kutokana na mke wake Melanie Slade anategemewa kujifungua muda wowote kuanzia sasa hivi.
Bongoswaggz inakupa fursa ya kuitazama mechi Live kupitia hapa hapa jumamosi hii.

Shishi Abadili Jina na Kujiita Shishitrump, Tazama hapa chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.