Sikiliza Hapa Kionjo Cha Wimbo Mpya Wa Diamond Platnumz. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Sikiliza Hapa Kionjo Cha Wimbo Mpya Wa Diamond Platnumz.

Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ambaye Hivi karibuni ameweza kushinda Tuzo 3 za AFRIMA mwenye Hit Singer ya "SALOME" ameweza kutuonjesha kipande cha ujio wake Mpya.

Audio hii inaweza kuwaimevuja kwani yeye mwenyewe hajaweza kuipa promo kwenye akaunti yake yoyote mtandaoni ambapo si jambo lakawaida kwake.

Moja ya Mistari inayopatikana kwenye wimbo huo unasema

"Tatizo sielewi nikipi nilichowakosea walimwengu, Mbona nimejawa na dhiki, Nyama mnakula nyie mimi ni Dengu,Tena kinachoniadhibu mnayosema baya mazuri hamuyaoni, Wengine rafiki wa karibuMioyoni mnaroho mbaya mnanichekea usoni"

Hebu Isikilize hapa.

UMESHAONA UTANI HUU KUHUSU COLLABO YA DIAMOND NA ALIKIBA ? CHEKI HAPA CHINI.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.