Sallam SK Aeleza Sababu ya 'Chibu Perfume' Kupewa Jina Hilo na Faida Yake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Sallam SK Aeleza Sababu ya 'Chibu Perfume' Kupewa Jina Hilo na Faida Yake.

Usiku wa juzi katika mtandao wa Instagram Diamond Platnumz alipost video ikionyesha perfume yake mpya ambayo inatarajiwa kuingia sokoni hivi punde ambayo inaitwa Chibu Perfume.

BongoSwaggz imeona sio kesi kama ikimtafuta meneja wa mkali huyo Sallam SK na kupiga nae story ili kutolea ufafanuzi brand hiyo mpya ambayo inatarajiwa kumuingiza Diamond Platnumz katika list ya wasanii wachache duniani ambao ni wajasiriamali na wanaoingiza mkwanja mrefu sana tofauti na kazi ya muziki.
Sallam amefunguka mengi sana juu ya perfume hiyo ikiwemo sababu ya wao kuiita perfume hiyo Chibu na sio Diamond kama lilivyo jina lake. Amedai kuwa jina la Diamond limeshakuwa kubwa sana na huu ndio wakati muafaka wa kubrand vitu vingine na kuvifanya vikubwa.

TAZAMA HAPA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOTUONYESHA CHIBU PERFUME.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.