Ronaldo na Messi Ndio Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Zaidi Duniani. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ronaldo na Messi Ndio Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Zaidi Duniani.

Wachezaji Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wa mchezo wa soka wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa sasa.

Ronaldo analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku akijikusanyia kiasi cha pauni milioni 19,kwa mwaka Nae Lionel Messi analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku nae akipata pauni million 19 kama Ronaldo kwa mwaka.

Gareth Bale (Real Madrid) Pauni 346,000 kwa wiki, Pauni Milioni 18 kwa mwaka.

Givanildo Vieira de Sousa maarufu kama Hulk (Shanghai SIPG) Pauni 317,000 kwa wiki Pauni Milioni 16.5 kwa mwaka.

Paul Pogba (Manchester United) Pauni 290,000 kwa wiki Pauni Milioni 15 kwa mwaka.

Neymar (Barcelona) Pauni 289,000 kwa wiki Pauni Milioni 15 kwa mwaka.

Graziano Pelle (Shandong Luneng) Pauni 260,000 kwa wiki Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka.

Wayne Rooney (Manchester United) Pauni 260,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka.

Zlatan Ibrahimovic (Manchester United) Pauni 250,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13 kwa mwaka.

Sergio Aguero (Manchester City) Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka.

Yaya Toure (Manchester City) Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.