Ronaldo Atoa Bilioni 9.6 kwa Chapocoense Kama Rambirambi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ronaldo Atoa Bilioni 9.6 kwa Chapocoense Kama Rambirambi.

Dunia ina msiba mzito hasa katika upande wa soka ,ni baada ya kuwapoteza wachezaji wake wa timu ya Chapocoense iliyoanguka nchini Colombia na kuuwa wachezaji wote.
Mshambuliaji na winga wa Real Madrid ya hispania na kempteni wa ureno Christiano Ronaldo ameonyeshwa kuguswa na jambo hili na kuamua kutoa kiasi cha bilioni 3 kwaajili ya wafiwa wote.

Siku mbili kabla ya ajali timu ya Chapocoense ilikuwa ikishangilia ushindi kwa timu hiyo na ilikuwa siku ya mwisho kwa wachezaji hao kuonana.

Timu kadhaa na uongozi wake katika ligi mbalimbali zimeguswa na janga hili na kutoa viwango vya pesa kama rambirambi.Ikumbukwe kuwa tukio hili ni tukio la pili katika historia ya soka ambalo Manchestar United iliwahi kuwapoteza wachezaji wake pia.

Bongoswaggz itakusogezea mechi  itakayochezwa leo kati ya Manchestar United vs Westharm United.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.