Rich Mavoko Awajibu Waliohisi Kapotea Kujiunga WCB Wasafi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rich Mavoko Awajibu Waliohisi Kapotea Kujiunga WCB Wasafi.

Muziki ni chakula bora cha nasfi hasa pale unapokutana na ngoma inayoikonga moyo wako ipasavyo.mziki pia waweza kuwa sababu ya kufanya maisha yakawa rahisi sana pale utakapoutendea haki yake.

Kuna baadhi ya mashabiki wa Rich Movoko walimlaumu sana na kuona amejichanganya kabisa kujiunga na lebo ambayo inawasanii wanaotoa ngoma kwa zamu.Lakini kwa sasa wameanza kujutia maneno yao baada ya mavoko kuwanyoosha ipasavyo kwenye ngoma yake mpya ya Kokoro aliyomshirikisha Diamond Platnumz.

Bongoswaggz inakusogezea ujumbe wa Mavoko kwa mashabiki zake

"mimi ni mtu ambae taget zangu nazijua mwenyewe na huwa najua mzikiwangu nataka niupeleke wap,sasa anapokuja mtu na kunipa maneno kuhusu maamuzi yangu na hajui lengo langu mimi nakuwa nampuuzia tu ndio maana ninaimani na mziki wangu na najua kile ambacho mashabiki zangu wanaitaji kutoka kwangu."alisema Mavoko.

Bongoswaggz bado inakupa wasaa wa kucheck headlines zote zilizodropishwa hapa na ambazo bado unaitaji kuzipitia pia.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.