Picha: Zari Ajiandaa na Ujio wa Mtoto wa Pili na Diamond kwa Baby Shower. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Zari Ajiandaa na Ujio wa Mtoto wa Pili na Diamond kwa Baby Shower.

Siku zinayoyoma na mwezi ujao panapo majaliwa, Zari atajifungua mtoto wake wa pili na Diamond. Huyo atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla.

Katika kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, staa huyo wa Uganda amefanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.
Rafiki yake Nonhle Ndala ameandika: Zari’s Baby Shower … When a mother of 5 looks breathtakingly beautiful. A few days to go till baby boy arrives and look at her I mean… She exudes gorgeousness. Congratulations Zari & Simba, we celebrate God’s beautiful gift and blessing today .”

Hizi ni picha zaidi:
Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.