Ommy Dimpoz Afunguka Haya Kuhusu Bifu la Alikiba na Diamond Platnumz Watu Ambao Amekaa nao Karibu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ommy Dimpoz Afunguka Haya Kuhusu Bifu la Alikiba na Diamond Platnumz Watu Ambao Amekaa nao Karibu.

Star mmiliki wa Ngoma inayofanya vizuri kwa sasa ‘Kajiandae’, Ommy Dompoz, amefunguka na kudai kuwa tangu awe karibu na Mahasimu wawili Ali Kiba pamoja na Diamond Platnumz hakuna aliyewahi kutamka kuwa na tatizo na mwenzie.

Akiongea na The Playlist ya Times Fm jumamosi iliyopita, Ommy amedai mashabiki na Mitandao ndio inakuza swala hilo, lakini si Diamond wala Ali aliyewahi kutamka kuwa na bifu na mwenzie. “Kwa bahati nzuri Nimekaa nao wote hakuna aliyesema kwamba ana bifu na mwenzie” alisema Ommy

ULIONA HUU UTANI KWA DIAMOND NA ALIKIBA KUTOKA KWA MCHEKESHAJI WA KENYA ? CHEKI HAPA CHINI.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.