Msanii D’Banj Apewa Tuzo Bungeni Uingereza. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Msanii D’Banj Apewa Tuzo Bungeni Uingereza.

Mwanamuziki Mnigeria ambaye amekuwa kinara wa kunyakuwa tuzo katika tasnia ya sanaa, D’Banj amepata tuzo ya Entertainment Icon Award 2016 inayotolewa na Black Entertainment Film Fashion Television and Arts (BEFFTA) aliyokabidhiwa na Lord John Bird kwenye ndani ya Bunge la Mabwanyenye (Matajiri) huko Westminster, London nchini Uingereza.
D’Banj (kushoto) Lord John Bird
Sherehe hizo zilihudhuriwa na Dr. Pauline Long (Mwanzilishi wa BEFFTA Awards), Chief Bimbo Afolayan ambaye ni mwenyekiti wa BEFFTA, Dayo Olomu na wengine wengi.

UMEONA HII YA SHILOLE KUBADILI JINA NA KUJIITA 'SHISHITRUMP' ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.