Mose Iyobo Afunguka Kuhusu Aunt Ezekiel Kudaiwa ni Mjamzito. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mose Iyobo Afunguka Kuhusu Aunt Ezekiel Kudaiwa ni Mjamzito.

Kiongozi wa Dancers wa WCB Mose Iyobo ambaye pia ni Mume wa muigizaji Aunt Ezekiel, Soudy amemuuliza kuhusu picha yao iliyosambaa mtandaoni kuonesha tumbo la Aunt Ezekiel kama ni mjamzito tena.

Mose Iyobo amesema sio kweli kuwa Aunt Ezekiel ni mjamzito isipokuwa amekuwa anakula sana ndio mana tumbo lake limekuwa kubwa….

“Mama Cookie anakula sana mpaka kaota tumbo fulani hivi, ila mimi na Mama Cookie ni wazazi kwahiyo vitu vyote vinavyokuja vinakuwa kwenye mipango lakini mbona kama bado hivi lile ni tumbo la shibe ila kama umeona tumbo ujue tumejipanga” – Mose Iyobo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.