Manchester United na Arsenal Uso kwa Uso Wikiendi Hii. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Manchester United na Arsenal Uso kwa Uso Wikiendi Hii.

November 19 inawakutanisha mahasimu wawili wanao shiriki ligi kuu ya EPL ,Imepita wiki sasa baada ya ligi hiyo kusimama kupisha michuano ya timu za kitaifa barani ulaya.

Manchestar United inayonolewa na kocha Jose Mouninho anakutana na Arsène Wenger anaekinoa kikosi cha Arsenal.

Mpaka sasa Manchestar United ina point 18 huku arseanalikiwa na point 24 kwenye msimamo wa ligi hiyo .

BongoSwaggz itairusha mechi live kati ya Manchestar United vs Arsenal.

Unadhani nani ataibuka mshindi ? Tupe utabiri wako hapa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.