Maelfu Waandamana Kupinga Ushindi wa Trump. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Maelfu Waandamana Kupinga Ushindi wa Trump.

Waandamaji wanaompinga Donald Trump kuwa raisi.

Kumekuwa na maandamano ya kupinga ushindi wa Donald Trump kutoka katika miji mbalimbali nchini Marekani.

Maelfu ya raia kwa sasa wamekusanyika nje ya mnara maarufu kama Trump Tower mjini New york wakipaza sauti zao kuhusu sera za uhamiaji,mapenzi ya jinsia moja na haki ya uzazi yanayopingwa na Donald Trump.

Wanasema hata dunia ina wasiwasi juu ya ushindi wa urais.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.