List ya Wasanii Wanaowania Tuzo za EATV Awards 2016 Hii Hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

List ya Wasanii Wanaowania Tuzo za EATV Awards 2016 Hii Hapa.

Katika hali yoyote inapokuwa na ushindani wa aina yoyote basi mwisho wa siku ni lazima mshindi apatikane na atunukiwe jambo.

EATV inatupa wasaa wa kuwajua wasanii wetu waliofanya vizuri kwa mwaka huu na ngoma zao kwa kuandaa jambo ambalo watanzania na wapenda burudani wengi walitamani kuliona.

BongoSwaggz inakusogezea orodha kamili ya wasanii wanaowania tuzo hiyo na vipengele vyake.

MWANAMUZIKI CHUPUKIZI.

Amani Hamisi (Man Fongo) - Hainaga Ushemeji

Feza Kessy - Sanuka

Rukia Jumbe (Rucky Baby) - Give me some more

Mayunga Nalimi (Mayunga) - Nice Couple

Rashid Said (Bright) - NitunzieMUIGIZAJI BORA WA KIUME

Meya Shabani Hamisi

Salim Ahmed (Gabo)

Daudi Michael (Duma)

Dotto Hussein Matotola

Saidi Mkukila


MUIGIZAJI BORA WA KIKE

Chuchu Hansy

Rachel Bithulo

Frida Kajala Masanja

Khadija Ally


FILAMU BORA YA MWAKA

Facebook Profile

Safari ya Gwalu

Mfadhili Wangu

Hii ni Laana

Nimekosea Wapi


KUNDI BORA LA MWAKA

Navy Kenzo

Mashauzi Classic

Team Mistari (Kenya)

Sauti Sol (Kenya)

Wakali Wao


VIDEO BORA YA MWAKA

Namjua - Shetta

Njogereza - Navio

Aje - Ali Kiba

Don't Bother - Joh Makini

NdiNdiNdi - Lady Jay Dee


MWANAMUZIKI BORA WA KIUME

Gnako

Shetta

Mwana FA

Ben Pol

Alikiba


MWANAMUZIKI BORA WA KIKE

Lilian Mbabazi (Uganda)

Ruby

Lady Jay Dee

Linah

Vanessa Mdee


WIMBO BORA WA MWAKA

Don't Bother - Joh Makini

NdiNdiNdi - Lady JayDee

Kamatia Chini - Navy Kenzo

Aje - Alikiba

Moyo Mashine - Ben Pol

Je ? kuna kipengele chochote unahisi msanii wako atachukua tuzo basi hujachelewa BongoSwaggz inakupa nafasi ya kumpigia kura msanii umpendae hapa chini.

Bofya Hapa Kupiga Kura

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.