List ya Wachezaji 10 Wanaolipwa Pesa Ndefu Zaidi Duniani. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

List ya Wachezaji 10 Wanaolipwa Pesa Ndefu Zaidi Duniani.

List mpya ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani imetoka October 31 2016. Staa wa timu ya taifa ya Wales ambaye anaichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Gareth Bale ameingia katika TOP 3 ya wachezaji wa soka wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani ambapo ameingia katika list hiyo kutokana na mkataba wake mpya alio saini na Real Madrid.
Mchezaji kutoka Afrika yupo mmoja tu katika list hiyo, kiungo wa Man City na raia wa Ivory Coast Yaya Toure yupo nafasi ya 10 katika list ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani.
Yaya Toure

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.