Linex Aizungumzia Lebo Yake ya VOA Kuwa Kimya Bila Msanii Yoyote. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Linex Aizungumzia Lebo Yake ya VOA Kuwa Kimya Bila Msanii Yoyote.

Msanii na msimamizi wa lebo ya Voa Linex a.k.a Sunday Mjeda hatimaye azungumzia sababu inayotufanya tushindwe kuzisikia kazi za wasanii wa lebo hiyo.

Linex ameitaja jina la lebo yake karibu katika nyimbo zake zote alizowahi kuziachia redioni lakini anatuweka wazi sababu ya ukimya huo.

"Kuna kitu kinaitwa VOA na kila kitu lazima kifanyiwe maandalizi ili kiwe kikubwa na kiweze kuingiza pesa pia, sasa ni lazima ukitengenezee mazingira. Mimi nimekuwa brand kwa sababu nime-haso kwa miaka kumi ili kutafuta kitu ambacho ni cha kwangu mwenyewe. Shadoo ndo msanii nimeanza nae na naamini atatoka." Ametusanukia hivyo Linex.

Bongoswaggz itakusongezea stori zote zinazo trend kwenye mitandao ya kijamii na ulimwenguni kote.

Ili kuendelea kupata habari tembelea mitandao yetu ya kijamii pia DOWNLOAD App Yetu ili uwe unapata habari moja kwa moja kwenye Simu yako.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.