Jay Moe Aitamani Couple ya Diamond na Zari. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jay Moe Aitamani Couple ya Diamond na Zari.

Mkali wa nyimbo za kufoka kwenye miondoko Hip Hop,  Jay Moe hatimae azisanukia couple mbili za wasanii anazo zikubali zaidi kibongo bongo.

Hitmaker huyo wa Pesa ya madafu amefunguka jinsi anavyozikubali couple ya Diamond Platnumz na Zari pia Nahreel na Aika adai ni watu ambao wanachunga sana brand zao jambo ambalo linazidi kuwapa thamani kila kukicha.
"Mimi nadhani couple ya Diamond na Zari kwa sababu ipo kimapenzi na ipo kibiashara pia, jambo ambalo ni tofauti na couple zingine ambazo huwa kwenye mapenzi zaidi. Mimi pia natamani niwe na mpenzi ambae atakuwa na wivu sana jambo ambalo litanifanya ku-trend muda wote pia Nahreel na Aika wako vizuri sana kwenye couple yao" Amefunguka Jay Moe.

BADO HAUNA APP YETU KWENYE SIMU YAKO ? BASI UNAPITWA NA MENGI. >BOFYA HAPA< KUIPATA SASA.

UMEONA HII PERFUME MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ ? JIONEE KWENYE VIDEO HAPA CHINI.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.