Idris Sultan: Mastaa Wawili Kuwa Kwenye Uhusiano wa Kimapenzi Kuna Raha Yake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Idris Sultan: Mastaa Wawili Kuwa Kwenye Uhusiano wa Kimapenzi Kuna Raha Yake.

Tanzania bado tuna heshima ya pekee kwenye jumba la Big Brother ya South Afrika kwa kuongoza kutoa washindi zaidi ya wanne katika miaka tofauti.
Idris Sultan ni miongoni mwa watanzania waliwahi kujinyakulia ushindi huo wa Big brother, Mchekeshaji huyo na mtangazaji huyo wa Choice Fm amesema faida iliyopo kwa staa na staa kutoka ki mapenzi.

Bongoswaggz inakusogezea maneno kuntu yaliyonenwa na mchekeshaji huyo.

"Watu maarufu wote wanapokuwa kwenye mahusiano yanawa-push wote kwa pamoja katika kazi zenu,hata inapotokea mtu mmoja akidrop bila kufanya chochote basi mwenzie anamuinua coz wako kwenye relation ambayo inammbo mengine ndani hiyo ni faida kubwa sana mastaa wawili wanapokuwa kwenye mahusiano." alisema Sultan.

Tangu ashinde mashindano ya Big brother idris sultan aliwahi kutoka na mrembo wa tanzania mdada wenye histori ya pekee kwenye tasnia ya bongo,udaku,visa na kadhalika Wema sepetu kwa sasa ameachana na mpenzi wake mpya model Calisah.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.